Kibidayuh cha Bukar-Sadong
Kibidayuh ya Bukar-Sadong (pia Kisabutan au Kiterian) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia na Indonesia inayozungumzwa na Wabukar na Wasadong kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibiatah nchini Malaysia imehesabiwa kuwa watu 49,100. Idadi ya wasemaji nchini Indonesia haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibukar-Sadong iko katika kundi la Kiland-Dayak.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibukar-Sadong kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibukar-Sadong Ilihifadhiwa 4 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibukar-Sadong katika Glottolog
- lugha ya Kibukar-Sadong kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibidayuh cha Bukar-Sadong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |