Kibidyara

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kibidyara (pia Kibidjara au Kipitjara) ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wabidyara katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kibidyara ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibidyara kiko katika kundi la Kimariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibidyara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.