Kibigambal
Kibigambal ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wabigambal katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kibigambal ilitoweka. Uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi haujulikani.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibigambal kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibigambal Ilihifadhiwa 4 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibigambal katika Glottolog
- lugha ya Kibigambal katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibigambal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |