New South Wales
Welisi Mpya Kusini (English: New South Wales) ni moja kati ya majimbo ya Australia. Pia ni moja kati ya majimbo makongwe katika Australia. Kati ya majimbo yote ya Australia, New South Wales ndiyo inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu. Mji mkuu wa New South Wales ni Sydney. Sydney ni mji mkubwa kabisa katika Australia.
Mji wa Sidney ulianzishwa mnamo mwaka 1788 kama kituo cha wafungwa kutoka Uingereza waliopelekwa hapa badala ya magereza ya nyumbani.
Wakazi wa New South Wales wanaitwa Wawelsh au Welshman (Kiing.
Jina la jimbo limetokana na mpelelezi Mwingereza James Cook aliyekuwa Mzungu wa kwanza wa kupitia pwani hili na na kulitolea jina la "New South Wales" kwa heshima ya Welisi ambayo ni nchi jirani ya Uingereza ndano ya Ufalme wa Muungano kwenye kisiwa cha Britania.
Jiografia
haririViungo vya nje
hariri- Australia - Map of South East Australia from Geoscience Australia Ilihifadhiwa 28 Novemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- NSW Official State Website
- NSW Parliament Ilihifadhiwa 22 Aprili 2016 kwenye Wayback Machine.
- NSW Police
- NSW State Law
- NSW State Library - History of Our Nation Ilihifadhiwa 22 Novemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- NSW Weather and Sydney Weather Ilihifadhiwa 6 Mei 2009 kwenye Wayback Machine.
- NSW Directory Ilihifadhiwa 13 Februari 2008 kwenye Wayback Machine. - from the Open Directory Project
Usafiri
haririBarabara
hariri- Hume Highway
- Princes Highway
- Pacific Highway
- New England Highway
- Federal Highway
- Sturt Highway
- Newell Highway
- Great Western Highway
Makala hii kuhusu maeneo ya Australia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu New South Wales kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Australia Kusini | Australia ya Magharibi | Australian Capital Territory | New South Wales | Northern Territory | Queensland | Tasmania | Victoria |