Kibijori ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabijori. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kibijori imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibijori iko katika kundi la Kimunda.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibijori kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.