Kibilaspuri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabilaspuri. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kibilaspuri imehesabiwa kuwa watu 295,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibilaspuri iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibilaspuri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.