Kibisaya cha Brunei
Kibisaya ya Brunei ni lugha ya Kiaustronesia nchini Brunei na Malaysia inayozungumzwa na Wabisaya. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kibisaya ya Brunei nchini Brunei imehesabiwa kuwa watu 37,600 na nchini Malaysia kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibisaya ya Brunei iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibisaya ya Brunei kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibisaya ya Brunei Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibisaya ya Brunei katika Glottolog
- lugha ya Kibisaya ya Brunei kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibisaya cha Brunei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |