Kibishnupriya ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi na Bangladesh inayozungumzwa na Wabishnupriya. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibishnupriya nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 77,500. Pia kuna wasemaji 40,000 nchini Bangladesh. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibishnupriya iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibishnupriya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.