Kibobo-Madare-Kaskazini
Kibobo-Madare-Kaskazini (au Kikonabere) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso na Mali inayozungumzwa na Wabobo. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kibobo-Madare-Kaskazini nchini Burkina Faso imehesabiwa kuwa watu 35,000. Pia kuna wasemaji 25,000 nchini Mali. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibobo-Madare-Kaskazini iko katika kundi la Kimande.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibobo-Madare kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibobo-Madare Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibobo-Madare katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bbo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibobo-Madare-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |