Kibomu

lugha ya Mali na Burkina Faso

Kibomu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali na Burkina Faso inayozungumzwa na Wabomu. Mwaka wa 1976 idadi ya wasemaji wa Kibomu nchini Mali imehesabiwa kuwa watu 102,000. Pia kuna wasemaji 56,000 nchini Burkina. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibomu iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibomu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.