Kibonggo (pia Kibgu) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabonggo kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kibonggo imehesabiwa kuwa watu 790 tu. Kwa vile watoto hawajifunzi lugha, Kibonggo imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibonggo iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibonggo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.