Kibozaba
Kibozaba ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabozaba. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kibozaba imehesabiwa kuwa watu 5500. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibozaba iko katika kundi la C40.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibozaba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibozaba Ilihifadhiwa 4 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibozaba katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bzo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibozaba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |