Kibraj (au Kibraj-Bhasha) ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabraj. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibraj imehesabiwa kuwa watu 574,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibraj iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibraj kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.