Kibru ya Mashariki ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Laos na Vietnam inayozungumzwa na Wabru. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kibru ya Mashariki nchini Vietnam imehesabiwa kuwa watu 55,600. Pia kuna wasemaji 26,700 nchini Laos (2005). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibru ya Mashariki iko katika kundi la Kikatuiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibru-Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.