Kibuksa ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabuksa. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kibuksa imehesabiwa kuwa watu 43,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibuksa iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibuksa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.