Kiburma ni lugha ya Waburma nchini Myanmar na kote duniani wanapoishi. Ni tawi kubwa la kundi la lugha za Kichina-Kitibet.

Eneo la lugha za Kiburma

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiburma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.