Kibuxinhua (au Kibit) ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Laos na Uchina inayozungumzwa na Wabuxing. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kibuxinhua nchini Laos imehesabiwa kuwa watu 1960. Pia kuna wasemaji 200 nchini Uchina (1994). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibuxinhua iko katika kundi la Kipalaungiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibuxinhua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.