Kichakma ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Bangladesh, Uhindi na Myanmar inayozungumzwa na Wachakma. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kichakma nchini Bangladesh imehesabiwa kuwa watu 150,000. Pia kuna wasemaji labda 100,000 nchini Uhindi (2002). Idadi ya wasemaji mchini Myanmar haijahesabiwa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichakma iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichakma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.