Kicheq-Wong
Kicheq-Wong ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Wacheq-Wong. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kicheq-Wong imehesabiwa kuwa watu 460 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicheq-Wong iko katika kundi la Kimon-Khmer.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kicheq-Wong kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kicheq-Wong Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kicheq-Wong katika Glottolog
- lugha ya Kicheq-Wong kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kicheq-Wong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |