Kinyanja

(Elekezwa kutoka Kichewa)

Kinyanja (pia Chichewa) ni lugha ya Kibantu inayozungumzwa nchini Malawi kama lugha rasmi na lugha ya taifa. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kinyanja nchini Malawi imehesabiwa kuwa watu milioni saba. Pia kuna wasemaji 803,000 nchini Zambia (2001), 599,000 nchini Msumbiji (2006), na 252,000 nchini Zimbabwe (1969). Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyanja iko katika kundi la N30.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyanja kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.