Kichhattisgarhi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wachhattisgarhi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kichhattisgarhi imehesabiwa kuwa watu 13,300,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichhattisgarhi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichhattisgarhi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.