Kichujio

Katika utarakilishi na lugha ya programu, kichujio (kwa Kiingereza: filter) ni fomula saidizi inayoamrisha orodha ili kuumbwa muundo wa data mpya[1].

Kichujio kwenye orodha.

MfanoEdit

Kwa Python mfano wa kichujio ni[2] :

# Orodha wa herufi
herufi = ['a', 'b', 'd', 'e', 'i', 'j', 'o']

# fomula saidizi inayochuja vokali
def chujaVokali(herufi):
  vokali = ['a', 'e', 'i', 'o', 'u']

  if(vokali in herufi):
    return True
  else:
    return False

chujwaVokali = filter(chujaVokali, herufi)

print('Vokali zichujwa ni:')
for vokali in chujwaVokali:
  print(vokali)

TanbihiEdit

MarejeoEdit

 • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).