Kidagoman

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kidagoman ilikuwa lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia iliyozungumzwa na Wadagoman katika jimbo la Northern Territory. Hakuna Wadagoman waliobaki kuzungumza lugha ya Kidagoman, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidagoman kiko katika kundi la Kiyangwaniki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidagoman kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.