Kidarkinyung
Kidarkinyung (au Kidarkinjung) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadarkinyung katika jimbo la New South Wales. Mwaka wa 2008, kulikuwa na wasemaji wa Kidarkinyung wachache tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidarkinyung kiko katika kundi la Kiyuin.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kidarkinyung kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidarkinyung Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kidarkinyung katika Glottolog
- lugha ya Kidarkinyung katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidarkinyung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |