Kidharuk (au Kidharug) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wadharuk katika jimbo la New South Wales karibu na mji wa Sydney. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kidharuk ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidharuk kiko katika kundi la Kiyora.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidharuk kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.