Kidhundari
Kidhundari ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wadhundari. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kidhundari imehesabiwa kuwa watu 1,870,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidhundari iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kidhundari kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidhundari Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidhundari katika Glottolog
- lugha ya Kidhundari kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidhundari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |