Kidhurga
Kidhurga kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wadhurga katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kidhurga ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidhurga kiko katika kundi la Kiyuin.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kidhurga kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidhurga Archived 24 Novemba 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidhurga katika Glottolog
- lugha ya Kidhurga katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidhurga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |