Kidjamindjung
Kidjamindjung (au Kijaminjung) ni lugha ya Kimirndi nchini Australia inayozungumzwa na Wadjamindjung katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kidjamindjung 130. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidjamindjung kiko katika kundi la Kiyirram.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kidjamindjung kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidjamindjung Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kidjamindjung katika Glottolog
- lugha ya Kidjamindjung katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidjamindjung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |