Kidjauan
Kidjauan (au Kijawoyn) ni lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia inayozungumzwa na Wadjauan katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kidjauan ilihesabiwa kuwa watu arobaini na wawili tu, yaani lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidjauan kiko katika kundi lale lenyewe la Kidjauan.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kidjauan kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidjauan Archived 16 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidjauan katika Glottolog
- lugha ya Kidjauan katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidjauan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |