Kidogon, Tomo Kan
Kitomo-Kan ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali inayozungumzwa na Wadogon. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kitomo-Kan nchini Mali imehesabiwa kuwa watu 133,000. Pia kuna wasemaji wachache nchini Burkina Faso. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitomo-Kan iko katika kundi la Kidogon.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kitomo-Kan kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitomo-Kan Archived 7 Mei 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kitomo-Kan katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/dtm
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidogon, Tomo Kan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |