Kidogri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wadogri. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kidogri imehesabiwa kuwa watu 2,280,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidogri iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidogri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.