Kidusner ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia iliyozungumzwa na Wadusner kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 2007 hakuwa na wasemaji wa Kidusner; imesemekana kwamba mwaka wa 1978 kulibaki wazee sita tu walioweza kuongea Kidusner. Kwa sasa, lugha ya Kidusner imetoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidusner iko katika kundi la Kibiakiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidusner kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.