Kidyirbal (au Kidjirbal) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadyirbal katika jimbo la Queensland. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kidyirbal ilihesabiwa kuwa watu 29 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidyirbal kiko katika kundi la Kidyirbaliki.

Eneo la Kidyirbal (buluu)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidyirbal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.