Kiede-Nago-Manigri-Kambole

Kiede-Nago-Manigri-Kambole ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Togo na Benin inayozungumzwa na Waede. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiede-Nago-Manigri-Kambole nchini Togo imehesabiwa kuwa watu 40,000, na nchini Benin watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiede-Nago-Manigri-Kambole iko katika kundi la Kiyoruboidi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiede-Nago-Manigri-Kambole kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.