Kiezaa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waezaa. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kiezaa imehesabiwa kuwa watu 590,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiezaa iko katika kundi la Kiigboidi ikiwa karibu sana hasa na Kiizi, Kiikwo na Kimgbo.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiezaa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.