Kiizi (au Kiizii) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waizi. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kiizi imehesabiwa kuwa watu 540,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiizi iko katika kundi la Kiigboidi ikiwa karibu sana hasa na Kiezaa, Kiikwo na Kimgbo.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiizi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.