Kiikwo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waikwo. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kiikwo imehesabiwa kuwa watu 260,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiikwo iko katika kundi la Kiigboidi ikiwa karibu sana hasa na Kiezaa, Kiizi na Kimgbo.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiikwo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.