Kifaa cha kutunzia
kifaa hichi hukaa ndani ya kompyuta na huhifadhi data mbalimbali
Kifaa cha kutunzia ni chombo cha tarakilishi kinachotumiwa kwa kutunza rasilimali ya tarakilishi. Kwa mfano, diski ngumu, RAM au kisahani (CD) ni vifaa vya kutunzia.
MarejeoEdit
- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.