Rasilimali (tarakilishi)

Katika sayansi ya tarakilishi, Rasilimali au Rasilimali ya tarakilishi ni vijenzi vya mata na vijenzi vya pepe vinavyotumiwa katika tarakilishi. Kwa mfano, jalada ni kijenzi cha pepe kinyume cha diski ngumu na kifaa cha kutunzia zilivyo vijenzi vya mata.

MarejeoEdit

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.