Kifaa michoro

Katika utarakilishi na katika kiolesura michoro cha mtumiaji, kifaa michoro au kipengee michoro ya kidhibiti (kwa Kiingereza: graphical widget au graphical control element) ni kipengee cha maingiliano, kama kitufe au mwambaa biringizi. Kifaa michoro ni kijenzi cha programu kinachotumika ili kuingilia tarakilishi.

Orodha ya vifaa michoro vyote vya programu inaitwa GTK+ toleo 2

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).