Kifang ni lugha ya Kibantu nchini Guinea ya Ikweta, Gabon, Kamerun na Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wafang. Isichanganywe na Kifang-Wum. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kifang imehesabiwa kuwa watu 588,000 nchini Gabon, 297,000 nchini Guinea ya Ikweta na 8100 nchini Kongo. Pia kuna watu 121,000 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kifang iko katika kundi la A70.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.