Kifedan (pia Kipodena) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wafedan kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kifedan imehesabiwa kuwa watu 280 tu. Lugha ya Kifedan imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifedan iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifedan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.