Kifo cha John Ward

Mnamo tarehe 14 Oktoba 2004, Pádraig Nally, mkulima wa Ireland   alimpiga risasi na kumuua Msafiri wa Ireland John "Frog" Ward, ambaye alikuwa akiingilia mali yake. Mnamo Novemba 2005, Nally alihukumiwa kifungo cha miaka sita kwa kuua bila kukusudia. Hukumu yake ilibatilishwa mnamo Oktoba 2006 na, ika sikilizwa tena mnamo Desemba 2006, hivyo ilipo kuja kusikilizwa tena hakupatikana na hatia ya kuua bila kukusudia[1][2].

Marejeo hariri

  1. "Death of John Ward", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-03-26, iliwekwa mnamo 2022-07-31 
  2. "Death of John Ward", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-03-26, iliwekwa mnamo 2022-07-31