Kigadaba-Mudhili
Kigadaba-Mudhili ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wagadaba. Ni tofauti na Kigadaba-Bodo ambayo ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kigadaba-Mudhili imehesabiwa kuwa watu 8000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigadaba-Mudhili iko katika kundi la Kiparji-Gadaba.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigadaba-Mudhili kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigadaba-Mudhili Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kigadaba-Mudhili katika Glottolog
- lugha ya Kigadaba-Mudhili kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigadaba-Mudhili kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |