Kigaddi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wagaddi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kigaddi imehesabiwa kuwa watu 110,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigaddi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigaddi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.