Kigadjerawang

lugha ya asili ya Australia

Kigadjerawang (pia Kigajirrabeng) ni lugha ya Kijarrakan nchini Australia inayozungumzwa na Wagadjerawang katika majimbo ya Australia Magharibi na [[Northern Territory. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kigadjerawang wawili tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Wengine hukiangalia kuwa lahaja ya Kimiriwung.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigadjerawang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.