Kiganggalida
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka
Kiganggalida kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waganggalida katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiganggalida, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiganggalida kiko katika kundi la Kitangiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiganggalida kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiganggalida Ilihifadhiwa 12 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiganggalida katika Glottolog
- lugha ya Kiganggalida katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiganggalida kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |