Kigangulu

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kigangulu kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagangulu katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kigangulu ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigangulu kiko katika kundi la Kimariki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigangulu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.