Kigarasia-Adiwasi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wagarasia. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kigarasia-Adiwasi imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigarasia-Adiwasi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigarasia-Adawasi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.