Kigarhwali ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wagarhwali. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kigarhwali imehesabiwa kuwa watu 2,920,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigarhwali iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigarhwali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.